• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

WAZIRI MKUU DKT MWIGULU NCHEMBA ARIDHISHWA NA UBORA WA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

Posted on: February 20th, 2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amezindua rasmi jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Moshi lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni 3.2 na kueleza kuridhishwa kwake na ubora pamoja na thamani ya fedha iliyotumika katika ujenzi wake.


Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 20 Februari 2026 wakati wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi.


Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Mkuu amesema jengo hilo ni kielelezo cha uwajibikaji na usimamizi mzuri wa rasilimali za umma, akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya kiutawala ili kuongeza ufanisi wa utoaji huduma kwa wananchi.


Uzinduzi huo umeambatana na upandaji wa mti wa kumbukumbu mbele ya jengo la Utawala la halmashauri ya Moshi huku akisisitiza kutunza mazingira ili thamani ya jengo iendane na utunzaji wa mazingira yake.


Katika hotuba yake kwa wananchi, Waziri Mkuu alieleza mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hususan katika sekta za elimu na afya.


Alibainisha kuwa Serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa katika ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari, uboreshaji wa miundombinu ya vyuo, ujenzi wa hospitali za wilaya, vituo vya afya na zahanati katika maeneo mbalimbali ya nchi.


Uwekezaji huo umeongeza upatikanaji wa huduma za kijamii karibu na wananchi na kupunguza changamoto zilizokuwepo hapo awali, akiahidi kuwa Serikali itaendelea kusimamia miradi ya maendeleo kwa weledi, uwazi na uwajibikaji.


Wananchi waliohudhuria hafla hiyo walionesha furaha na matumaini yao kuwa uwepo wa jengo hilo jipya la utawala utaongeza kasi ya utoaji huduma na kurahisisha upatikanaji wa huduma za halmashauri kwa wakati.




Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU December 31, 2025
  • KATAZO LA KUPAKIA, KUSHUSHA ABIRIA NA MIZIGO NJE YA VITUO VYA MABASI MAMLAKA YA MJI MDOGO WA HIMO. January 02, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI 29-01-2024 January 29, 2024
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI YA WATENDAJI WA KIJIJI III NA NAFASI YA WASAIDIZI WA KUMBUKUMBU II TAREHE 06.02.2024 February 06, 2024
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • PROF TUMAINI NAGU AKAGUA HUDUMA ZA AFYA MOSHI DC, ASISITIZA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    February 23, 2026
  • WAZIRI MKUU DKT MWIGULU NCHEMBA ARIDHISHWA NA UBORA WA JENGO LA UTAWALA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

    February 20, 2026
  • RC BABU AFUNGUA MAFUNZO YA MADIWANI MOSHI DC, WAASWA KUZINGATIA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU.

    January 20, 2026
  • DC MNZAVA ASISITIZA WAZAZI KUPELEKA WATOTO SHULE

    January 15, 2026
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi Mtendaji

    Sanduku la posta: P.o.Box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : ded@moshidc.go.tz or info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.