• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango takwimu na Usuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Tehama
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uru kaskazini
    • Kata
      • Arusha chini
      • Kahe
      • Kahe mashariki
      • Kibosho kati
      • Kibosho kati
      • Kibosho magharibi
      • Kibosho mashariki
      • Kilema kaskazini
      • Kilema kati
      • Kilema kusini
      • Kimochi
      • Kindi
      • Kirima
      • Kirua vunjo kusini
      • Kirua vunjo magharibi
      • Kirua vunjo mashariki
      • Mbokomu
      • Mabogini
      • Makuyuni
      • Mamba kaskazini
      • Mamba kusini
      • Marangu magharibi
      • Marangu mashariki
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kaskazini
      • Mwika kusini
      • Njia panda
      • Okaoni
      • Old moshi magharibi
      • Old moshi mashariki
      • Uru kaskazini
      • Uru kusini
      • Uru mashariki
      • Uru shimbwe
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogondogo
  • Kituo cha Habari
    • Gallery

Mipango Takwimu na Ufuatiliaji

UTANGULIZI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Idara inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria Na. 7 ya mwaka 1982 ya uanzishwaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa. Idara imegawanyika katika sehemu kuu tatu ambazo ni:

Mipango

Takwimu

Ufuatiliaji na Tathimini (M&E)

KAZI ZA IDARA

  • Kuratibu shughuli za maandalizi ya bajeti ya Halmashauri
  • Kuratibu utayarishaji wa utekelezaji wa mpango mkakati wa Halmashauri
  • Kuratibu shughuli za ukusanyaji, uchambuzi, utunzaji na tafsiri ya takwimu mbalimbali kwa ajii ya matumizi hususani katika upangaji miradi ya maendeleo.
  • Kuratibu shughuli za utekelezaji wa miradi mbalimbli ya maendeleo ya Wilaya
  • Kuandaa maandiko ya miradi mbalimbali (project write ups) kwa malengo ya kuyatumia kuombea fedha kutoka kwa wahisani mbalimbali.
  • Kuratibu shughuli za mipango shirikishi jamii
  • Katibu wa kamati ya wataaalam ya Halmashauri
  • Katibu wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Kuratibu mapitio ya utayarishaji wa taarifa mbalimbali za Wilaya (District Profile)  kwa mfano: Social Economic Profile, Investment Profile etc.
  • Kuratibu maandalizi ya mpango wa utekelezaji Ilani ya uchaguzi pamoja na taarifa zake za utekeleaji (za nusu mwaka na za mwaka mzima).
  • Kutoa ushauri katika masuala ya kiuchumi na kuinua pato la mkazi kwa kuimarisha kilimo na ufugaji wa kisasa pamoja na shughuli nyingine za kiuchumi.




Matangazo

  • SEMINA YA MAANDALIZI YA MITIHANI YA WANAFUNZI SEKONDARI KIDATO CHA PILI NA KIDATO CHA NNE YAFANYIKA LEO MOSHI DC October 18, 2021
  • ZIARA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH SAMIA SULUHU HASSAN October 13, 2021
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020/2021 April 01, 2021
  • Tazama yote

Habari Mpya

  • WAZIRI BASHUNGWA AMALIZA MGOGORO WA ENEO ITAKAPOJENGWA HOSPITALI YA WILAYA MOSHI

    May 12, 2022
  • SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

    December 08, 2021
  • Tazama yote

Video

More Videos

Viunganishi vya haraka

  • report za halmashauri

Viunganishi linganifu

  • Tovuti Kuu ya serekali
  • Tovutu ya serekali mtandao (eGA)
  • Tovuti ya Mkoa Kilimanjaro
  • Tovuti ya wizara ya tamisemi
  • Tovuti ya wizara ya fedha
  • Tovuti ya wizara ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Muelekeo wa Ramani

Wasiliana nasi

    Moshi District Council

    Sanduku la posta: P.o.box 3003 Moshi

    Simu ya Mezani: Phone 2751865

    Mobile:

    Barua pepe: Email : info@moshidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma
    • Sera ya faragha

Hatimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Haki zote Zimeifadhiwa.